Zanzibar Heroes yatupwa Chalenji na Uganda kwa 4-0
Timu ya Taifa ya Zanzibar Zanzibar Heroes imetupwa nje ya michuano ya Kombe la CECAFA Chalenji katika hatua ya makundi baada ya kutandikwa bao 4-0 na timu ya taifa ya Uganda The Cranes katika michuano hiyo inayoendelea nchini Ethiopia.