Kesi ya msingi ya marehemu Mawazo kusikilizwa leo

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita, Alphonce Mawazo enzi za uhai wake.

Mahakama kuu kanda ya Mwanza jana imetupilia mbali mapingamizi ya kisheria yaliyowekwa na kamanda wa polisi mkoani Mwanza na mwanasheria mkuu wa serikali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS