Mwanamke akamatwa kwa kujifanya daktari Mwanamke mmoja mkazi wa Mwanza aliyejifanya daktari amekamatwa katika hospitali ya Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma kwa tuhuma za kutibu wagonjwa kinyume cha sheria. Read more about Mwanamke akamatwa kwa kujifanya daktari