Msiwe na vigugumizi katika maamuzi-Ombeni

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema hatarajii kuwaona Makatibu wakuu na Manaibu makatibu wakuu wanakua na kigugumizi katika kuchukua maamuzi dhidi ya watumishi watakao kuwa na makosa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS