Amir aitwa kikosi cha Pakistan Mchezaji wa Kriketi aliyewahi kutumika kifungo jela Mohammed Amir ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Pakistan kwenye mechi ya Twenty20 dhidi ya Newzealand baadae mwezi huu. Read more about Amir aitwa kikosi cha Pakistan