Msaidizi IGP na familia yake wafa Maji Dodoma
Watu nane wamefariki dunia Mkoani Dodoma wakiwemo watu sita wa familia moja ambayo ni ya Msaidizi wa IGP, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji katika eneo la Bwawani mji mdogo wa Kibaigwa Wilaya ya Kongwa

