"Fast Family" bado yaomboleza kifo cha Paul Walker
Ikiwa ni miaka miwili imetimia tangu kutokea kwa kifo cha muigizaji wa filamu toka Hollywood Paul Walker, waigizaji mwenzake wamemkumbuka kwa kuandika yale wanayohisi mioyoni mwao kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.