Tanzania kusimamia soko huria Afrika Mashariki
Serikali ya Tanzania imesema pamoja na kuzingatia amani inakuwepo katika nchi za Afrika Mashariki lakini pia itasimamia kupunguza makali ya soko la huria kwa nchi hizo ili kukuza uchumi wa wananchi wake.
