Serikali yaingilia kati mgogoro ndani ya Stand Utd
Hatimaye serikali kupitia wizara ya habari utamaduni michezo na sanaa imeingilia kati mgogoro ulioibuka katika klabu ya Stand United ya Shinyanga ambao ulipelekea kutokea kwa sintofahamu ambayo ilianza kuiathiri klabu hiyo ndani na nje ya uwanja.

