Nyanda za Juu Kusini zahitaji timu nyingi ligi kuu
Chama cha soka wilayani Mufindi kimewataka wadau wa wilaya hiyo kusaidia timu zilizopo ligi Daraja la kwanza ikiwemo timu ya Kurugenzi ili kuweza kupanga zaidi na kuweza kuongeza idadi ya timu shiriki za ligi kuu kwa Nyanda za Juu Kusini.