TP Mazembe, KRC Genk kuafikiana kumuuza Samatta

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta anatarajia kusaini Mkataba wa miaka minne na nusu kujiunga na KRC Genk ya Ubelgiji iwapo Klabu yake ya sasa ya TP Mazembe na klabu hiyo zitaafikiana kuhusu pesa za kumuuza mchezaji huyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS