Kikosi changu kinaanza kuimarika - Kibaden Kocha Mkuu wa JKT Ruvu Abdallah Kibadeni amesema kikosi chake kinaweza kuwa bora zaidi ya sasa, lakini bado kinahitaji muda. Read more about Kikosi changu kinaanza kuimarika - Kibaden