Sijaona vipaji vipya Chalenji - Kocha Mkwasa
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa Master amesema, hajaona kipaji kipya kwa wachezaji wapya walioshiriki michuano ya Kombe la Chalenji ambao anaweza kuwaongeza katika kikosi cha Timu ya Taifa.