NDANDA FC WAFANYA KIKAO CHA DHARULA

Kikosi cha Nanda fc katika picha ya pamoja kabla ya moja ya mechi ya ligi kuu ya soka Tanzania bara .

Klabu ya Ndanda FC inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara usiku wa jana imefanya kikao cha Viongozi ,Benchi la Ufundi wachezaji na Baadhi ya Wadau wa timu hiyo ili kubaini chanzo cha matokeo mabaya ya timu hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS