Kuchaguliwa na KORA ni ushindi kwangu - Wakazi
Msanii Wakazi ambaye amechaguliwa kuwania tuzo za KORA katika kipengele cha mwanamuziki bora wa Hip Hop kutoka Afrika, ameelezea hisia zake baada ya kuwepo kwenye kinyang'anyiro hicho, na kusema kitendo cha kuwepo tu kwake ni ushindi.