Serikali yaombwa kuanzisha mfuko maalumu wa mikopo
Serikali imeombwa kuanzisha mfuko maalum kwa ajili kutoa mikopo kwa vyama vya ushirika wa akiba na mikopo nchini hatua ambayo imetajwa itasaidia kwa kiasi kikubwa kuongeza mitaji kwa vyama hivyo katika kuwakopesha wajasiliamali wadogo.