Wanaoenda kushoot video nje acha waende -Adam Juma Muongozaji wa video hapa nchini Adam Juma amesema wasanii wengi hapa nchini wanaoenda kufanya video za muziki nje ya nchi, wanaenda kufuata conection na mawazo mapya na si jambo baya Read more about Wanaoenda kushoot video nje acha waende -Adam Juma