Mahakama kuu yatengua pingamizi la James Lembeli
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Shinyanga, imetengua pingamizi la kupinga kupunguziwa gharama za kesi ya uchaguzi kutoka shilingi milioni 15 hadi milioni tisa iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama mjini, James Lembeli