Masasi yawa ya pili kutoka mwisho darasa la saba
Maafisa elimu wa Halmashauri za Masasi na Nanyumbu mkoani Mtwara wametakiwa kuinua viwango vya ufaulu katika halmashauri zao kutokana na kushika nafasi mbili za mwisho kimkoa katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba.