Mazungumzo ya Trump na Putin yakwama
Mkutano uliokuwa ukitarajiwa kufanyika kati ya marais Donald Trump wa Marekani na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin huko Budapest Hungary, umesitishwa kwa muda baada ya Urusi kutupilia mbali suala la kusitisha mapigano.

