MTWAREFA kutafuta kocha wa kumshikia Malale
Chama cha Soka Mkoani Mtwara kinaendelea na mchakato wa kumtafuta kocha wa muda atakayesaidiana na kocha msaidizi Mussa Mbaya kukifua kikosi cha Ndanda FC baada ya kocha mkuu wa timu hiyo Malale Hamsini kuombwa kukifua kikosi cha JKU cha Zanzibar.

