Azam FC kuiwekea Bidvest Wits kambi ya nje ya nchi Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kuweka kambi nje ya nchi kujiandaa na mchezo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini. Read more about Azam FC kuiwekea Bidvest Wits kambi ya nje ya nchi