Sijaiba beat ya Scott - Lamar Producer Lamar ameelezea kutofurahishwa kwake na kitendo cha producer wa muziki kutoka Marekani Scott Storch kumjia juu baada ya kupost video akicheza beat yake na kumtag, na kumtaka aache kutumia mapigo yake. Read more about Sijaiba beat ya Scott - Lamar