Umoja wa mataifa waipa onyo Haiti kuhusu Uchaguzi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewaonya viongozi wa Haiti kuwa muda wa kurejesha usalama na kuandaa uchaguzi mkuu nchini humo unasonga. Read more about Umoja wa mataifa waipa onyo Haiti kuhusu Uchaguzi