Serikali mbioni kuzindua bima ya afya kwa wote Kwa upande wa sekta ya elimu, Dkt. Mwigulu amesema serikali imefanikisha ujenzi wa madarasa 79,000, shule mpya za sekondari zaidi ya 1,300 na shule mpya za msingi zaidi ya 2,700. Read more about Serikali mbioni kuzindua bima ya afya kwa wote