NEMC; Miradi isiyotunza mazingira itafungiwa

Baraza la taifa la Mazingira NEMC limewataka watu wanaotaka kuanzisha miradi kuhakikisha wanaifuata kikamilifu sheria ya kufanya tathmini ya uharibifu wa mazingira kabla ya kuanzisha mradi huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS