Futari haijapanda bei msimu huu wa ramadhani
Hali ya upatikanaji wa mazao ya chakula hususan yale yanayotumiwa kwa wingi wakati huu wa mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan inaonekana kuwa ni ya kuridhisha kwa msimu huu huku bei za vyakula hivyo zikionekana kuwa za kawaida tofauti na miaka mingi