Vargas apiga nne Chile ikiipiga Mexico wiki
Mshambulaji hatari wa timu ya taifa ya Chile Eduard Vargas akicheza kwa kiwango bora ameiongoza timu yake hiyo kuipa kipigo kizito timu ya Mexico ya kina Chicharito katika mchezo wa robo fainali ya michuano ya Copa Amerika huko nchini Marekani

