Yanga yafia Taifa 1-0 Kombe la Shirikisho Klabu ya Yanga ya Dar es salaam Tanzania leo imepoteza mchezo wake wa pili wa hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika kwa kufungwa bao 1-0 katika mchezo uliopigwa dimba la Taifa Dar es salaam. Read more about Yanga yafia Taifa 1-0 Kombe la Shirikisho