Mradi wa TASAF uliingiliwa na udanganyifu
Serikali imesema kuwa takribani Kaya elfu 25,446 ziliingia kwa udanganyifu kwenye mradi wa TASAF kutokana na kukosa sifa za kuwa na kiwango cha umasikini ikiwemo baadhi ya viongozi wa Kaya kuwaingiza ndugu zao katika mradi huo.