Kadi za njano zamponza Donald Ngoma

Mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga mzimbabwe, Donald Ngoma

Mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga mzimbabwe, Donald Ngoma ataikosa mechi dhidi ya waarabu wa Algeria, MO Bejaia kutokana na adhabu ya kadi mbili za njano ambapo kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mchezaji anapaswa kukosa mchezo unaofuata

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS