Prof. Mbarawa awashukia watumishi Tazara
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa anesena kuwa serikali haitasita kuchukua hatua za kisheria kwa mfanyakazi yoyote wa Mamlaka ya reli ya Tanzania na Zambia, (TAZARA), atakaejihusisha na vitendo vya kuihujumu mamlaka hiyo.
