Prestianni afungiwa mechi 6 kwa kumbagua Vini Jr Gianluca Prestianni MICHEZO: UEFA imemfungia Gianluca Prestianni mechi sita (6) kwa kumbagua Vincius Junior wakati wa mechi ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA mapema msimu huu. Read more about Prestianni afungiwa mechi 6 kwa kumbagua Vini Jr