Magari yote kufungwa vifaa vya kudhibiti mwendo

Johansen Kahatano katika moja ya majukumu yake jeshi la polisi (Usalama Barabarani)

Serikali imesema ina mpango wa kufunga mfumo mpya maalum kwa ajili ya kuratibu na kudhibiti mwendo wa magari nchini ikiwa ni sehemu ya jitihada za kukabiliana na ongezeko la ajali za barabarani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS