TRA yaongeza nguvu uhakiki wa TIN Jijini DSM
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imeagiza vifaa kutoka maeneo yote nchini na kuvileta jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuharakisha zoezi linaloendelea la uhakiki wa namba ya utambulisho wa mlipakodi maarufu kama TIN namba.
