Mr. Blue awa 'Nyani Mzee' Mr Blue Msanii Mr. Blue ametangaza kuacha kutumia jina la Simba ambao hivi karibuni liliibua mzozo mkubwa huku mashabiki wakidai kuwa ni la Diamond Platnumz huku naye akidai jina hilo ni lake. Read more about Mr. Blue awa 'Nyani Mzee'