Raia wa Ethiopia ahukumiwa kuchinjwa Saudi Arabia
Maafisa nchini Saud Arabia wametekeleza adhabu ya kifo kwa raia mmoja wa Ethiopia aliyekuwa akifanya kazi za ndani baada ya kushtakiwa na kukutwa na hatia ya kumuua mtoto wa muajiri wake zaidi ya miaka mitatu iliyopita.