Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" Charles Boniface Mkwasa
Shirikisho la Soka Tanzania, TFF limesema kuwa meshaanza programu maalumu kwa ajili ya Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa kusaka vipaji vipya mikoani.