Rooney aapa kupigania namba England
Nyota wa Man United, Wayne Rooney, amesema ataendelea kuchezea timu ya Taifa ya Uingereza, licha ya kuondoshwa katika kikosi kitakachoanza hii leo, dhidi ya Slovenia, kutafuta tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia 2018.