UKIMWI sasa kudhibitiwa kwa njia ya simu Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser. Tanzania imeingia rasmi kwenye mfumo maalum wa kimataifa wa kupata huduma za afya ya UKIMWI kwa njia ya simu bila malipo mfumo ambao umefadhiliwa na nchi ya Marekani. Read more about UKIMWI sasa kudhibitiwa kwa njia ya simu