Wodi ya watoto wenye saratani Muhimbili yaelemewa

Jengo la Watoto, Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Hospitali ya taifa ya muhimbili wodi ya watoto wenye saratani imesema inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa vifaa vya kuwasaidia watoto wenye saratani kupata matibabu jambo ambalo limekuwa likiathiri utendaji kazi kwa wauguzi wa wodi hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS