Watoto 400 duniani hufariki kila siku kwa surua Watoto wakipatiwa chanjo Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesema watoto 400 ulimwenguni hufariki dunia kila siku kutokana na surua licha ya kuwepo kwa vifaa na utaalam wa kukabili ugonjwa huo. Read more about Watoto 400 duniani hufariki kila siku kwa surua