Ukosefu wa ajira kwa vijana nchini wapungua
Serikali ya Tanzania imesema kwamba kulingana na takwimu inaonesha kuwa ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania umepungua kwa asilimia mbili, kutoka asilimia 13.7 mwaka 2012 mpaka asilimia 11.7 mwaka huu.