Rais Magufuli aomboleza vifo Shinyanga na Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainabu Telack kufuatia vifo vya watu 18 vilivyosababishwa na ajali ya barabarani mkoani humo.