Ulimwengu katika mchakato wa kwenda Ulaya

Thomas Ulimwengu

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu amesema yuko kwenye mazungumzo na wawakilishi wa klabu moja ya ligi kuu barani Ulaya na mambo yatakapokamilika ataweka hadharani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS