Wazawa wapewa kipaumbele zabuni ya uagizaji mafuta
Wakala wa Ununuzi wa Mafuta kwa Pamoja ujulikanao kwa kifupi kama PBPA leo umefungua zabuni ya wazi ya uagizaji mafuta kwa ajili ya matumizi ya mwezi Januari mwakani huku ikitumia kanuni na taratibu mpya
