Muheza United yazindua Kombe la FA kwa kishindo
Michuano ya Kombe la Shirikisho inayofahamika pia kama 'FA Cup' ikishirikisha timu 86 na mechi kuchezwa kwa mtindo wa mtoano katika raundi 9. imeanza rasmi kutimua vumbi lake leo katika dimba la Mkwakwani Jijini Tanga.