Moses Luka apata ulaji wa 'UP Next' ya Apple Music
Apple Music imemtangaza muimbaji na mtunzi wa nyimbo za injili kutoka Tanzania, Moses Luka, kuwa msanii wa awamu mpya kujiunga na mpango wake wa kukuza vipaji wa ‘Up Next’ katika ukanda wa Afrika Mashariki.

