Wenje asema ambao bado wapo CHADEMA ni mashujaa
Kuelekea kilele cha maadhimisho kuwakumbuka mashujaa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Septemba 7 mwaka huu, Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Victoria Ezekiah Wenje, amesema watu wote ambao bado wapo ndani ya chama hicho ni mashujaa.