Kuhamia Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki akiuaga msafara wa magari yaliyobeba vifaa vya ofisi vya kundi la kwanza la watumishi wa ofisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam wakielekea Dodoma Read more about Kuhamia Dodoma